Bahari ya Mediteranea (pia: Bahari ya Kati) ni bahari ya pembeni ya Atlantiki kati ya mabara ya Afrika, Ulaya na Asia ya Magharibi. Eneo lake ni takriban milioni 2,5km². Kina chake kirefu ni 5,267 m. Ina kanda ya hali ya hewa ya pekee pamoja na mimea na wanyama.
Ukubwa wa kijiographia wa bahari la Mediteranea ni kiasi gani?
Ground Truth Answers: milioni 2,5km²milioni 2,5km²2,5km²
Prediction: